Wananchi wa Baharain wameendeleza maandamano dhidi ya serikali wakitaka uhuru haki na demokrasia, serikali ya Marekani na nchi za Ulaya ambazo hujiweka mstari wa mbele kutetea haki na demokrasia zimefumbia macho matukio haya kwa kuogopa kupoteza maslahi yao binafsi.
17 Januari 2015 - 11:41
Msimbo wa Habari: 665315